Update cookies preferences
Gospel

AUDIO | Walter Chilambo Ft Beni Power (Habakuki) Faraja-BOLINGO NA YO | Download Gospel Song

Walter Chilambo Ft Beni Power (Habakuki) Faraja-BOLINGO NA YO
AUDIO | Walter Chilambo Ft Beni Power (Habakuki) Faraja-BOLINGO NA YO | Download Gospel Song

I do not want to bore my powerful stakeholders I want to bring them good thing every day, support and advice are a good thing from you.Today’s a special song for you of GOSPEL AUDIO

             www.wakristo.com website is dedicated to promoting Gospel entertainment through music. This is a platform for Gospel music lovers / Christians worldwide to listen and download newly released Gospel audio and music video tunes from their favorite Gospel artistes /ministers.


VERSE 1 (Walter Chilambo)
Natamani kukwambia neno zuri
Lakini nakosa namna ya kufikisha ujumbe
Sili silali natamani kusema na we
Usiku na mchana natamani tusemezane
Kwa yale Mema,Mazuri,fadhili ulizo nitendea Yahweh
Kwa ule upendo na mkono wako wanishika daima yoo yooh
Maana wapo waliopoteza uhai
lakini ukanichagua yooh
Wapo waliokosa chakula 
lakini ukanilisha aaah
BRIDGE
Osale linga ba bien 
( Osale linga be bien )
Yonde moninga malamu
( Yonde moninga malamu )
We ndo furaha ya moyo wangu o uuuh
Yonde esengo ya motema 
( yonde esengo ya motema )
CHORUS
Kama si wewe
Ningekuwa wapi
Kama si wewe 
Ningeitwa nani 
BOLINGO NAYO (Bolingo nayo)
BOLINGO NAYO YAYA (Bolingo nayo)
BOLINGO NAYO (Bolamu nayo Yahweh)
BOLINGO NAYO YAYA (Bolingo nayo)
BOLINGO NAYO (Bolingo nayo)
BOLINGO NAYO YAYA (Bolingo nayo)
 _HARMONY_ : 
●Bolingo nayo, …. bolamu nayo
 *(Upendo wako)… (wema wa wako)* 
VERSE 2
 _BENIT_ : 
●Motema nanga ezo yemba ba bienfaits nayo
 *(moyo wangu unaimba Mazuri yako)*
●Motema nanga ezo yemba misala malamu nayo
 *(Moyo wangu unaimba Matendo yako mazuri)*
●Na memeli yo masanjoli, masanjoli ya motema nanga 
 *(Nime kuletea Sifa, Sifa za moyo wangu)*
●Osaleli nga ba bien
 *(Ume nitendea mema)* 
●Yo nde moninga malamu 
 *(Wewe ndie rafiki mzuri)* 
●Yo nde esengo ya motema
 *(Wewe ndio furaha ya moyo)* 
●Nayemba yo ndenge nini Yesu 
 *(Nikuimbiye namna gani Yesu)*
●Nani mosusu aza lokola yo mwata wani 
 *(Nani mwingine kama wewe Mungu wangu)*
●Nani mosusu aza lokola yo Mukalenga wanyi
 *(Nani mwingine kama wewe Mfalme wangu)*
●Oooooooooh, nalingiyo Yesu 
 *(Ooooooooh nakupenda Yesu)*
CHORUS
HABAKUKI :
●Bolingo nayo Ponanga, Namona yango Bisika teee, Nzambe nanga oza malamu Mingi, Bolingo nayo eleki ya mama na papa aaa , Oza malamu koleka nyoso… Bolingo nayo oooh
 *(Upendo wako Kwangu, Sijawahi uona popote pale, Mungu wangu wewe ni mzuri sana, upendo wako unazidi wa mama na baba, aaa wewe mzuri kupita yote ee                                     Upendo wakooo ooo)*
 
●Eee naza Mbum’abolingo N’o
 *(Eee, mimi ni tunda la Upendo wako)*

www.wakristo.com it allow you to download the song through LINK without any doubt,easy to click and get to be in your phone “FREE”       

        

Do not allow the music to be missed everyday here.This www.wakristo.com brings a dramatic drama every day that has a trend in networks,also let’s hang to distribute our music so far. www.wakristo.com is a homepage for music.

By placing the gospel songs and ads on our website contact us: –

  • Email To Specialist : wakristomusic@gmail.com
Share on