Update cookies preferences
Gospel

AUDIO | Osborns Praise – Mwamba Ni Yesu | Download Gospel Song


On this tune, The Gospel artist “Osborns Praise” released a song titled “Mwamba Ni Yesu“, and was in 2024. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.

Related : Osborns Praise – I’m Amazed

Get MP3 audio for free, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. Let its melodious tunes and heartfelt lyrics be a source of inspiration and comfort to those who need it.

Download Audio Mp3, Stream, Share to friends and family, and stay graced.

MWAMBA NI YESU

Mwamba ni Yesu mwamba
Mwamba ni Yesu mwamba

Njia zake ni za kweli mwamba Halleluyah yoyo
(Mwamba ni Yesu mwamba)

Akisema Ndiyo hakuna wa kupinga Halleluyah yoyo
(Mwamba ni Yesu mwamba)

Akili zake hazichunguziki Mwamba huyu Yesu
(Mwamba ni Yesu mwamba)

Na neno lake ni amina na kweli Mwamba uyu Yesu
(Mwamba ni Yesu mwamba)

Matendo yake yanatisha kama nini huyu Yesu wangu
(Mwamba ni Yesu mwamba)

Akisema ndiyo hakuna wakupinga Utukufu Yesu wangu
(Mwamba ni Yesu mwamba)

Shuhuda zake ni amina na kweli Mwamba huyu Yesu
(Mwamba ni Yesu mwamba)

Matendo yake hayabadiliki mwamba huyu Yesu
(Mwamba ni Yesu Mwamba)

Mwamba ni Yesu mwamba
(Mwamba ni Yesu mwamba)

Mwamba ooo mwamba ,Mwamba ni Yesu mwamba
Mwamba ooo mwamba ,Mwamba ni Yesu mwamba

Iye iye iye iye iye Yesu anaweza
Iye iye iye iye iye Yesu anaweza

Also, check more tracks from Osborns Praise;

Share on

Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *