On this tune, The Gospel singer “The Saints Ministers” released a song titled “Tabibu Mkuu“, and was in 2024. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.
Related : The Saints Ministers – Hitaji Langu
Get MP3 audio for free, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. Let its melodious tunes and heartfelt lyrics be a source of inspiration and comfort to those who need it.
Download Audio Mp3, Stream, Share to friends and family, and stay graced.
Lyrics
Tabibu Mkuu Yesu aletaye faraja kwetu, Mwenye huruma nyingi, Mimi ndimi Bwana nikuponyaye.
- Pindi tuwapo wagonjwa, twatafuta madakitari, washindwapo twaugua nini, ndipo waita wataalamu. Yaweza chukua muda mrefu, huenda hata miaka, kupata utambuzi sahihi, miili yetu iuguayo.
- Hata hivyo tunaye, tabibu mmoja wa kweli, hahitaji miadi kumwona, anahudumu wakati wote. Hakuna bima, madawa, matibabu yake ni bure, majibu ya yale uuguayo yeye Mungu anajua.
- Tenga muda rafiki naye muuguzi wa ajabu, upate ukaguzi maalum, kuelewa ikuumizayo. Mweleze unavyohisi, kimwili, hisia, kiroho. Usimtafute tu Mungu wakati afya yako idororapo.
Also, check more tracks from The Saints Ministers;
Comment