Similar
Advertisement by Wakristo.com
Download the latest Gospel music
UMEKUWA NAMI LYRICS
INTRO
Hapa Nilipo Jinsi Nilivyo Niwewe Ume niwezesha ×2
Hatakatika Moto Mwingi Huku ruhusu Niteketee .
Hapa Nilipo Jinsi Nilivyo Niwewe umeniwezesha × 2
Katika Jangwa Kwenye Dhoruba Umekuwa Nami,
Zilipo vuma Upepo na Mawimbi
Umekuwa nami × 2 Katika jangwaaa
CHORUS :
Katika Jangwa Kwenye Dhoruba Umekuwa Nami ,
Zilipo vuma Upepo na Mawimbi umekuwa Nami × 4
Huku Ruhusu Nifie Misri Uliniokoa na Farao , Hata Katika Moto Mwingi Huku ruhusu Niteketee ,
Huku Ruhusu Nifie Misri Uliniokoa na Farao
Hata Katika umaskini na Magonjwa , huku ruhusu ni teketee ,
Huku Ruhusu Nifie Ushago Uliniokoa Na Farao , Hata Katika Moto Mwingi Huku ruhusu Niteketee. [ Katika jangwaa ]
CHORUS :
Katika Jangwa Kwenye Dhoruba Umekuwa Nami ,
Zilipo vuma Upepo na Mawimbi umekuwa Nami × 4
*UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMI
UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMI…
[ Instrumentalists )
UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMI
UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMI…
Katika Jangwa Kwenye Dhoruba Umekuwa Nami , zilipo Vuma Upepo na Mawimbi umekuwa Nami ×2
UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMI
UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMI…
UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMI
UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMI…
Audience
Umekuwa Nami , umekuwa Nami
Umekuwa Nami , umekuwa Nami
Umekuwa Nami , umekuwa Nami
Katika Jangwa Kwenye Dhoruba Umekuwa Nami , zilipo Vuma Upepo na Mawimbi umekuwa Nami…
UMEKUWA NAMI ! UMEKUWA NAMI !
Celebration…..
Song Writer : Minister Jeremy jeradi
Video & Photography : Summary Creative
Audio Production : Jeradi Conceptz studio
Bvgs : The Shekinah Team under Minister Jeremy jeradi
Comment